Iran imesema wajumbe wake wanaoshiriki mazungumzo ya kuufufua mkataba wa nyuklia wa mwaka 2015 watarejea mjini Vienna, Austria, kuhudhuria mkutano unaonza leo.
確定! 回上一頁